Showing posts with label Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kamishna Robert Boaz Mikomangwa. Show all posts
Showing posts with label Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kamishna Robert Boaz Mikomangwa. Show all posts

Monday, February 06, 2017

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA MKUU WA MAJESHI JENERARI VENANCE MABEYO

Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.