Showing posts with label Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo. Show all posts
Showing posts with label Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo. Show all posts

Thursday, December 22, 2016

MACHINJIO YA KISASA YA SUNGURA KUJENGWA NCHINI.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Rabbit Republic ambaye ni mfugaji wa sungura kutoka Kenya, Moses Mutua (kulia) akielezea mipango yake ya kuzanzisha machinjio ya kisasa ya sungura hapa nchini, wakati wa hafla ya Kampuni ya Namaingo kugawa sungura kwa  vikundi 20 vya wajasiriamali, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.