Showing posts with label Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA). Show all posts
Showing posts with label Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA). Show all posts

Tuesday, February 14, 2017

SUMA JKT KUJENGA BANDARI KAVU RUVU


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Eng. Deusdedit Kakoko (Wa pili kushoto) na Mwanasheria Mkuu wa Shirika la uzalishaji Mali Jeshi la kujenga Taifa –SUMA JKT Kanali John Mbungo, (Wa pili kulia), wakitiliana saini mkataba wa ujenzi wa bandari kavu katika eneo la Kwala-Ruvu mkoani Pwani. Mkataba huo umesainiwa leo jijini Dar es salaam.