Showing posts with label Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel. Show all posts
Showing posts with label Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel. Show all posts

Thursday, March 24, 2016

DKT. KASHILILAH AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA BUNGE LA ISRAEL

 Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel wakati alipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo naye.
 Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Rone Plot (kushoto) akimwelezea jambo Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Kashililah wakati alipomtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo naye.