Showing posts with label Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Bi. Bella Bird. Show all posts
Showing posts with label Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Bi. Bella Bird. Show all posts

Thursday, May 26, 2016

MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA NCHINI ATEMBELEA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU:

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akielezea majukumu ya ofisi hiyo kwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Bi. Bella Bird (kulia kwake) alipotembelea leo, Makao Makuu ya Ofisi hiyo iliyopo Barabara ya Kivukoni Jijini Dar es Salaam.