Showing posts with label Mkuranga mkoani Pwani. Show all posts
Showing posts with label Mkuranga mkoani Pwani. Show all posts

Friday, May 20, 2016

ASKARI WA USALAMA BARABARANI, ALLY KINYOGOLI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

Watu wasiojulikana wakiwa na pikipiki aina ya Boxer,usiku wakuamkia leo wamemuuwa kwa kumpiga risasi kadhaa katika sehemu mbalimbali za mwili wake Askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani, Ally Kinyogoli nyumbani kwake Mwandege, Mkuranga mkoani Pwani.