Showing posts with label Michuzi Media Group. Show all posts
Showing posts with label Michuzi Media Group. Show all posts

Saturday, June 25, 2016

KIKAO KAZI CHAFANIKIWA KUHUISHA HAZINA BLOG


Maofisa Mawasiliano wa Wizara ya Fedha na Mipango wakihuisha Blog ya Hazina katika kikao kazi kilichofanyika Hazina Ndogo mjini Dodoma , ambapo pia waliwashirikisha baadhi ya mablogger maarufu na watalaam wa tehama.