Showing posts with label Mhandisi Zuhura Semboji. Show all posts
Showing posts with label Mhandisi Zuhura Semboji. Show all posts

Tuesday, April 12, 2016

WAHANDISI TEMESA WAPIGEWA ELIMU:

  kaimu Mtendaji Mkuu Temesa  Mhandisi Manase Ole Kujan (wa pili kushoto) akipata maelezo juu ya ufungaji wa moja ya mtambo wa umeme wa nishati ya jua (Solar) kutoka kwa Mhandisi Zuhura Semboji mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya wiki mbili kwa wahandisi na mafundi wa Temesa.
  Kaimu Mtendaji Mkuu Temesa Mhandisi Manase Ole Kujan (katikati) akiangalia moja ya kifaa cha kupimia umeme kinachotumika katika mafunzo kwa wahandisi na mafundi wa Temesa yaliyofunguliwa.