Mabalozi wa Airtel Tanzania wakitoa maelezo kwa wateja waliotembelea banda la Airtel, juu ya mpango mpya wa kupata masomo ya ufundi kupitia simu zao za mikononi ujulikanayo kama VSOMO unaotolewa na VETA kwa kushirikiana na Airtel kwenye Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Ikiwa ni takribani mwezi moja tangu kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kushirikiana na VETA kuzindua application ijulikanayo Kama VSOMO na kuwawezesha watanzania kusoma masomo ya ufundi kupitia simu zao za Mkononi.