Showing posts with label Mhandisi Ernest Makale. Show all posts
Showing posts with label Mhandisi Ernest Makale. Show all posts

Thursday, April 14, 2016

IDARA ZA TAMISEMI ZAONGOZA KWA RUSHWA MKOANI MWANZA:

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rusha Mkoani Mwanza (Pichani) Mhandisi Ernest Makale, ametoa taarifa ya Utendaji kazi wa taasisi hiyo mbele ya Wanahabari katika kipindi cha robo mwaka (Januari hadi Machi) mwaka huu.
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rusha Mkoani Mwanza Mhandisi Ernest Makale, leo akitoa taarifa ya Utendaji kazi wa taasisi hiyo kwa Wanahabari katika kipindi cha robo mwaka (Januari hadi Machi) mwaka huu.