Showing posts with label Mh. Raymond Mushi. Show all posts
Showing posts with label Mh. Raymond Mushi. Show all posts

Tuesday, May 17, 2016

HUAWEI IMEFUNGUA DUKA JIPYA NDANI YA CITY MALL JIJINI DAR ES SALAAM:

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Huawei Tanzania Bw. Bruce Zhang, akitoa hotuba kwa wageni waalikwa katika uzinduzi wa duka la Huawei lililopo City Mall, jijini Dar es Salaam uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.