Showing posts with label Mganga Mkuu mkoani Mwanza. Show all posts
Showing posts with label Mganga Mkuu mkoani Mwanza. Show all posts

Thursday, January 05, 2017

MBUNGE WA VITI MAALUMU CCM MKOANI MWANZA KEMIREMBE LWOTA AIPIGA TAFU HOSPITALI YA SEKOUR TOURE.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella, akizungumza hii , kabla ya kukabidhi msaada wa vitanda 20, magodoro 20, vyandarua 20 pamoja na mashuka 100, uliotolewa na mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Mwanza, Kemirembe Lwota, katika Hospitali ya Rufaa ya Sekou Toure.