Showing posts with label Meneja Huduma za Dawa Michael Kishiwa. Show all posts
Showing posts with label Meneja Huduma za Dawa Michael Kishiwa. Show all posts

Thursday, May 05, 2016

NHIF YAZINDUA HUDUMA TOTO AFYA KADI:

 Meneja Huduma za Dawa Michael Kishiwa kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ( NHIF)  akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu huduma mpya ya mfuko huo iitwayo “Toto Afya Kadi” inayohusisha watoto wenye umri chini ya miaka kumi na nane ambao sio wanachama wa kundi la mwajiriwa, Kushoto ni Afisa Masoko wa Mfuko huo Bi. Sabina Komba.