Showing posts with label Mbunge wa Same Mashariki (CHADEMA) Mhe. Naghenjwa Kaboyoka. Show all posts
Showing posts with label Mbunge wa Same Mashariki (CHADEMA) Mhe. Naghenjwa Kaboyoka. Show all posts

Tuesday, June 14, 2016

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA:

Wabunge wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge mara baadya kumalizika kwa sala ya kuliombea Bunge leo asubuhi mjini Dodoma na wakiendelea na msimamo wao  wa kutomtambua Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.