Showing posts with label Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega. Show all posts
Showing posts with label Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega. Show all posts

Wednesday, August 03, 2016

MADIWANI MKURANGA WAMUOMBA RAIS KUFUTA HATI MILIKI YA SHAMBA LA SOAP & ALLIED INDUSTRIES LTD KUFUATIA KUIBUKA KWA MGOGORO MKUBWA NA WANANCHI


Madiwani wa kimsikiliza Kwa makini Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega katika kikao cha halmashauri ya wilaya ya Mkuranga.Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga Kwa kauli moja wamepitisha maadhimio ya kuunda kamati itakayokwenda Kwa Waziri Mkuu ili kumuomba rais afute hati miliki ya shamba namba 271, linalomilikiwa na mwekezaji, Hamidu Balma.