Showing posts with label Mbunge wa Bahi Bw. Omar Badwel. Show all posts
Showing posts with label Mbunge wa Bahi Bw. Omar Badwel. Show all posts

Wednesday, April 13, 2016

WAZIRI MHAGAMA AAGIZA IDARA YA MAAFA KUFANYA TATHIMINI YA MAAFA BAHI:

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha bajeti ya ofisi yake wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria ya Kupitisha Bajeti uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Aprili 12, 2016
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria ya kupitisha bajeti wakifuatilia bajeti ya ofisi hiyo walipokutana kuijadili na kuipitisha bajeti hiyo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Aprili 12, 2016.