Showing posts with label Mbula. Show all posts
Showing posts with label Mbula. Show all posts

Wednesday, April 06, 2016

MH. ANNE KILANGO MALECELA AWAHUTUBIA WAKAZIWA SHINYANGA, BAADA YA KUSIMIKWA KUWA CHIFU WA KISUKUMA

Hapa ni katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga ambapo April 05, 2016 kumefanyika mkutano wa mkuu mpya wa mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Anne Kilango Malecela amejitambulisha kwa wananchi wa mkoa wa Shinyanga na kueleza vipaumbele vyake katika kuwaletea maendeleo wananchi. 


Machifu wa Kisukuma na wasaidizi wa machifu kutoka maeneo mbali mbali ya mkoa wa Shinyanga wakijitambulisha kwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Anne Kilango Malecela ambaye amepewa jina la "Mbula"