Showing posts with label Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Show all posts
Showing posts with label Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Show all posts

Friday, June 24, 2016

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAKABIDHIWA MAGARI TISA.

 Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa pamoja na mwakilishi wa katibu Mkuu wa Wizara Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Claud Kumalija wakionyesha ufunguo wa gari mbele ya waandishi wa habari na wageni waalikwa kuashiria kupokea magari tisa yaliyotolewa na Shirika la ICAP Tanzania kwa ajili ya Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya UKIMWI Tanzania utakaofanyika nchi nzima kuanzia mwezi Septemba, 2016.