Showing posts with label MO ENTERPRISES. Show all posts
Showing posts with label MO ENTERPRISES. Show all posts

Thursday, August 04, 2016

Habari wadau,pokeeni habari,picha na story kutoka ofisi ya makamu wa rais,asanteni

 Naibu waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina (katikati)alipofanya ziara ya ukaguzi wa mazingira katika kiwanda  cha Mo Enterprises kilichopo kiwalani jijini  Dar es salaam.