Showing posts with label MBUNGE wa Arumeru Mashariki. Show all posts
Showing posts with label MBUNGE wa Arumeru Mashariki. Show all posts

Tuesday, June 14, 2016

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI, JOSHUA NASSARI NA MADIWANI WANNE WAFIKISHWA MAHAKAMANI


MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na wenzake wanne ambao ni madiwani wa Halmashauri ya Meru wilayani Arumeru, wamesomewa shitaka la kuharibu uzio eneo la Leganga wilayani humo. 

Walisomewa shitaka lao mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Augustine Rwezile jana.