Showing posts with label Katibu mkuu wizara ya afya. Show all posts
Showing posts with label Katibu mkuu wizara ya afya. Show all posts

Tuesday, March 15, 2016

JAMII YATAKIWA KUHAKIKISHA VIFO VITOKANAVYO NA MATATIZO YA UZAZI KWA AKINA MAMA WAJAWAZITO NA WATOTO VINATOKOMEZWA:

Kaimu mkurugenzi msaidizi kitengo cha huduma za uzazi na mtoto toka wizara ya afya dkt.Georgina Msemo akionesha moja ya bango lililomvutia kwenye zahanati hiyo ambalo linaonesha maudhurio ya kliniki kwa mama na baba,aliyekaa mbele ni kaimu mganga mkuu wa wilaya ya Mbarali dkt.Hance Mpumilwa.
IMG-20160314-WA0008Moja ya bango la maudhurio lililobandikwa kwenye zahanati hiyo ambapo kila ofisi ya kijiji ina maudhurio hayo na pia daftari la mama na mtoto na kila mzazi anapotoka kliniki(baba au mama)lazima apite kuandikiwa maudhurio,jitihada hizo zilizowekwa na wananchi wa vitongoji vyote vitatu vya kijiji hicho zimesaidia kufanikisha kutokuwa na vifo vya mama mjamzito na watoto wakati wa kujifungua toka mwaka 2008 kijijini hapo.