WAPO REDIO NURU YA JAMII
Showing posts with label
Katibu Mkuu Bi.Lydia Bendera
.
Show all posts
Showing posts with label
Katibu Mkuu Bi.Lydia Bendera
.
Show all posts
Monday, May 09, 2016
ADC YAWAFUTA UANACHAMA WANACHAMA WAKE WANNE AKIWEMO MWENYEKITI WA CHAMA HICHO:
Chama cha Alliance for Democratic Change ADC kimewafuta uanachama wanachama wake wanne akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Bwana Said Miraaj,Katibu Mkuu Bi.Lydia Bendera,Mkurugenzi wa mipango na uchaguzi Bwana Jumanne Magafu pamoja na Katibu wa Kamati ya ulinzi Bwana Juma Wandwi kwa makosa ya kukiuka katiba ya chama hicho kwa kususia kushiriki uchaguzi mkuu wa marudio wa Zanzibar.
Read more »
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)