Showing posts with label Kata ya Bonyokwa na Kata ya Kinyerezi. Show all posts
Showing posts with label Kata ya Bonyokwa na Kata ya Kinyerezi. Show all posts

Tuesday, February 28, 2017

MEYA ILALA AFUNGUA RASMI DARAJA LA BONYOKWA-KINYEREZI

 Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko, akihutubia wananchi baada ya kufungua rasmi  daraja linalounganisha Kata ya Bonyokwa na Kata ya Kinyerezi katika Manispaa ya Ilala, jijini Dar es salaam.