Showing posts with label Kampuni ya Quality Group ltd. Show all posts
Showing posts with label Kampuni ya Quality Group ltd. Show all posts

Monday, April 25, 2016

QUALITY GROUP KUANZISHA KITUO CHA URITHI WA UTAMADUNI TANZANIA (TCCH) SERIKALI YAUNGA MKONO:

O2
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha Urithi wa Utamaduni Tanzania (TCCH) kilichopo katika jengo la Qaulity Center leo jijini Dar es Salaam.Kituo hicho kinamilikiwa na Kampuni ya Quality Group Limited.