Showing posts with label Kamishna wa Polisi kanda maalumu Simon Sirro. Show all posts
Showing posts with label Kamishna wa Polisi kanda maalumu Simon Sirro. Show all posts

Friday, April 08, 2016

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LIMEFANIKIWA KUWAKAMATA WATU 63 WANASADIKIWA KUWA MAJAMBAZI.

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro kizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limekamata majambazi sitini na tatu (63) wa matukio ya unyang'anyi wa kutumia silaha katika oparesheni maalum iliyoendeshwa kwa wiki nzima na Jumla ya silaha sita, (6) ikiwemo SMG 1, SHORTGUN PUMP ACTION 3 na RIFLE 2. 
 Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Simon Sirro akionesha silaha huizo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam.