Kamishna
Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akipokelewa na Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Magereza alipowasili Makao Makuu ya Jeshi hilo
baada ya kuapishwa rasmi kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,
Ikulu Jijini Dar es Salaam Februari 6, 2017.