Showing posts with label John Kanyasu. Show all posts
Showing posts with label John Kanyasu. Show all posts

Saturday, June 11, 2016

WABUNGE WA KAMBI YA UPINZANI WAJITOA KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI BAADA YA IKULU KUWANYIIMA KIBALI CHA KWENDA MAREKANI


Ofisi ya Rais Ikulu imewanyima vibali vya kusafiri kwenda Marekani wabunge wawili wa Kambi ya Upinzani, bungeni na kumruhusu mbunge wa Geita Mjini (CCM), John Kanyasu. 

Wabunge hao wa kambi ya upinzani waliochaguliwa kwenda Marekani ni Savelina Mwijage (CUF) na  Mwita Mwaikabwe (Chadema)