Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu
jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018. Anayeshuhudia
kushoto ni Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman.