Showing posts with label Ilala na Kinondoni. Show all posts
Showing posts with label Ilala na Kinondoni. Show all posts

Monday, February 06, 2017

VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUTOA FURSA ZA UONGOZI KWA WANAWAKE

Afisa Programu na Uchambuzi wa TGNP, Deogratius Temba (kulia) akiwasilisha mada katika semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es Salaam, yaani Temeke, Ilala na Kinondoni. Semina hiyo liyofanyika Mabibo Jijini Dar es Salaam iliandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)