Showing posts with label Gloria Shechambo. Show all posts
Showing posts with label Gloria Shechambo. Show all posts

Thursday, June 09, 2016

VITUO VYA TAARIFA NA MAARIFA VYAPIGWA MSASA NA TGNP

 Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP , Bi Lilian Liundi akifungua semina  kwa Wanaharakati pamoja na viongozi wa vituo vya taarifa na Maarifa waliofika katika semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa TGNP Mtandao leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Geofrey Adroph)