Showing posts with label Frank Uhahula. Show all posts
Showing posts with label Frank Uhahula. Show all posts

Monday, May 16, 2016

RAJABU LUHWAVI AWASILI MJINI MOSHI KUKAGUA UHAI WA CHAMA:

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akipewa saluti na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Moshi mjini, Amiri Masawe, baada ya kuwasili mjini Moshi na kufika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kuzungumza na watendaji wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo. Wapili ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius utagumirwa na watatu ni Mkuu wa Kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Itikadi kutoka Idara ya Itikadi na Uenezi, Makao Makuu ya CCM,