Showing posts with label Erasmus Mndeme. Show all posts
Showing posts with label Erasmus Mndeme. Show all posts

Wednesday, February 08, 2017

WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA BODI YA HOSPITALI YA MIREMBE KUKABILIANA NA TATIZO LA MAGONJWA YA AKILI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na Wajumbe wa Bodi aliyoizindua leo (hawapo pichani) pamoja na wageni waalikwa kwenye hafla ya Uzinduzi wa Bodi hito iliyofanyika Hospital ya Mirembe Mkoani Dodoma 08/02/2017. 

Tuesday, October 11, 2016

MAADHIMISHO YA KITAIFA YA AFYA YA AKILI.



Mganga mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr James Kiologwe akitoa maelezo kwenye maadhimisho ya siku ya afya ya akili Duniania iliyoaadhimshwa kitaifa katika hospitali ya rufaa ya  magonjwa ya akili ya mirembe mjini Dodoma.