Showing posts with label Dkt.Hamis Mwinyimvua. Show all posts
Showing posts with label Dkt.Hamis Mwinyimvua. Show all posts

Thursday, July 21, 2016

SERIKALI KUTENGA BIL. 15 KUKUZA UJUZI WA VIJANA NCHINI.


Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana ,Ajira na Walemavu Bi. Jenista Mhagama akizungumza na wadau mbalimbali hawapo pichani wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Mashauriano ya ushiriki wa Watanzania katika uwekezaji uliofanyika jijini Dar es salaam.