Showing posts with label Chuo cha Taifa cha Utalii. Show all posts
Showing posts with label Chuo cha Taifa cha Utalii. Show all posts

Wednesday, May 18, 2016

KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII MAJ. GEN. GAUDENCE MILANZI AONGOZA MKUTANO WA 23 WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA HIYO

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi akizungumza wakati akifungua Mkutano wa 23 wa Baraza la Wafanyakazi Wizara ya Maliasili na Utalii uliofanyika jana katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii, Jijini Dar es Salaam.