Showing posts with label Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph Songea. Show all posts
Showing posts with label Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph Songea. Show all posts

Monday, May 30, 2016

SERIKALI YATANGAZA KUSAFISHA SEKTA YA ELIMU HASA WALE WALOAJIRIWA KWA KUTUMIA VYETI BANDIA

Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa kampeni ya kuwashughulikia na kuwaondoa katika utumishi wa umma watumishi wote walioajiriwa katika  sekta hiyo  wakitumia vyeti bandia .

Aidha, imewataka watumishi hao waanze kujitathmini na kuanza kujiondoa wenyewe kabla ya kufikiwa na mabadiliko makubwa ya kusafisha sekta ya elimu na utumishi wa umma yanayokuja nchini.