Showing posts with label Bw. Jan Eliasson. Show all posts
Showing posts with label Bw. Jan Eliasson. Show all posts

Wednesday, June 08, 2016

RAIS WA AWAMU YA NNE DK KIKWETE ASEMA VIJANA WADHAMINIWE DUNIANI NA KUWEZESHWA


Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amesema,     ingawa   idadi kubwa ya vijana wasiokuwa na  uhakika wa maisha yao wala kazi zenye tija na staha wapo katika nchi zinazoendelea, dunia katika ujumla wake inapashwa  kuonyesha  utashi wa kisiasa na udhubutu   wa kuwekeza    kupitia vijana.