Showing posts with label Bi. Ruth Minja. Show all posts
Showing posts with label Bi. Ruth Minja. Show all posts

Thursday, April 21, 2016

MATOKEO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI KUTUMIKA KUFANYA MABORESHO YA SERA ZA KUKUZA UCHUMI NA KUPUNGUZA UMASIKINI.

Kaimu Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bi. Ruth Minja akitoa ufafanuzi kwa wahariri wa vyombo vya Habari kuhusu matokeo ya Utafiti wa Watu wenye uwezo wa kufanya Kazi leo jijini Dar es salaam. Matokeo hayo yataiwezesha Serikali kuangalia upya tija ya utendaji kazi katika shughuli zinazofanywa na makundi mbalimbali ili kubaini mchango wake katika kukuza Pato la Taifa.Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.