Showing posts with label Bi. Miriam Chisoro. Show all posts
Showing posts with label Bi. Miriam Chisoro. Show all posts

Friday, May 06, 2016

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAZUNGUMZIA KUHUSU UTEKELEZAJI WA AHADI YA UADILIFU KWA WATUMISHI WA UMMA:

Mtangazaji wa kipindi cha Rushwa ni Adui wa Haki Bi. Miriam Chisoro (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) wakati wakijadili mada kuhusu Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa umma ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema.