Showing posts with label Bi. Charys Ugulum. Show all posts
Showing posts with label Bi. Charys Ugulum. Show all posts

Monday, May 09, 2016

TFDA YAKUTANA NA WADAU WA HABARI WA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO.

 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Said Mecki Sadiki akizungumza na maafisa wa TFDA ofisini kwake walipokwenda kumtembelea ofisini kwake na kujadili masuala ya udhibiti wa chakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba katika mkoa wake.