Showing posts with label Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania. Show all posts
Showing posts with label Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania. Show all posts

Thursday, April 07, 2016

UMOJA WA ULAYA(EU) WAZINDUA PROGRAMU WA KUZISAIDIA ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI HAPA NCHINI.

Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Bw. Roeland Van De Geer kizungumza jambo wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa programu ya kusaidia mashirika yasiyo ya kiserikali iliyofanyika jana. Picha na Geofrey Adroph
Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU) kutoka Brussels, Bi Rosario Bento Pais akizungumzia masuala ya kuzisaidia asasi zisizo za kiserikali ili ziweze kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa maana hizo zinawalenga watu katika jamii husika.