Showing posts with label Askofu Godwin Godwin Lekundayo. Show all posts
Showing posts with label Askofu Godwin Godwin Lekundayo. Show all posts

Thursday, September 08, 2016

RC ARUSHA.MRISHO GAMBO ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UTUME –KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO - ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo(Katikati) akikata utepe kama ishara ya maadhimisho ya maiaka 50 ya Utume Burka,kushoto ni Mch. Mchungaji Eliasi Ijiko na kulia ni Askofu Godwin Godwin Lekundayo.