Showing posts with label Alban Kihulla. Show all posts
Showing posts with label Alban Kihulla. Show all posts

Thursday, February 16, 2017

SOPHIA MJEMA AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA VIPIMO NA MIZANI FEKI, ILALA

Mkuu wa wilaya ya Ilala, kwa kushirikiana na Wakala wa vipimo Tanzania (WMA), mkoa wa Ilala, amefanya ziara ya kustukiza katika maeneo mbalimbali, katika kampeni yake ya kudhibiti vipimo na mizani 'feki'. Pichani, Mjema akikagua mzani kwenye bucha moja eneo la Kariakoo, Dar es  Salaam, akiwa katika ziara hiyo, Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo na kulia ni mfanyakazi katika bucha hiyo, Omar Khalfan.