Showing posts with label (Laparoscopy Surgery). Show all posts
Showing posts with label (Laparoscopy Surgery). Show all posts

Tuesday, February 14, 2017

MATUNDU MADOGO (LAPAROSCOPIC SURGERY)

bwe Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kufanya upasuaji mkubwa kwa njia ya matundu madogo(Laparoscopy Surgery) wa watoto watano ambao haujawahi kufanyika hapa nchini. Upasuaji huu utafanywa na madakari bingwa wa Muhimbili waliobobea katika upasuaji wa watoto kwa kushirikiana na mtaalamu kutoka Hospitali ya King Faisal ya nchini Saudia Arabia.