Sunday, October 01, 2017

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA MHE. LUHAGA MPINA ATEMBELEA MVUMERO NA KILOSA




  Katikati Naibu Waziri Mpina akisukuma toroli baada ya kumaliza zoezi la usafi wa mazingira wilayani Mvomero, kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Bw. Mohammed Mussa Utali.
 Kulia Mratibu wa Mazingira kanda ya mashariki kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC Bw. Jafari Chimgege akiongea jambo wakati wa Oparesheni ya ukaguzi wa mazingira katika kiwanda cha Sukari Mtibwa. 
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akiangalia chanzo cha maji katika milima ya Urugulu, Mjini Morogoro, akiwa katika ziara ya mkikazi Mkoani Morogoro Mpina alielezwa kuwa chanzo hico cha maji kinaharibiwa na shughuli za binadamu.

No comments:

Post a Comment