Monday, August 08, 2016

NEEMA YATUA MKOANI MTWARA BAADA YA STARTIMES KUCHANGIA MADAWATI.


Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Bi. Anastazia Wambura (kushoto) pamoja na Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (kulia) wakiwa wamekaa kwenye madawati hayo.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MBEYA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe, Mbeya Agosti 7, 2016 ambako Agosti 8, 2016 atahitimisha maonyesho ya wakulima Nanenane

Saturday, August 06, 2016

RC ZAMBI AISHAURI WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KUJENGA JENGO LA KUDUMU NANE NANE LINDI

 Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi akisoma kipeperushi cha Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Miaka Mitano alipotembelea banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya Wakulima Nanenane Mkoani Lindi.

WAZIRI NCHEMBA AAGIZA GEREZA LA IRINGA MJINI KUHAMIA NJE YA MJI


Waziri Nchemba akitembelea eneo la Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa

BRAZIL YAONESHA NIA KUZALISHA UMEME WA MAJI, MABAKI YA MIWA

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (Kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Brazil nchini Tanzania, Carlos Alfonso Puente, wakati Balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

N/WAZIRI JAFO: WATANZANIA WANAPASWA KUTHAMINI BIDHAA ZINAZOZALISHWA NDANI YA NCHI


Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Jafo Suleiman Said akisikiliza maelezo ya namna ya kulima kilimo na ufugaji wa kisasa.

Friday, August 05, 2016

VIONGOZI WA DINI WAOMBEA UWANJA WA NDEGE WA TERMINAL III UNAOENDELEA KUJENGWA JIJINI DAR.

Katibu wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam na kiongozi wa Kanisa la Anglikana, Mchungaji,John Solom(aliyeshika kipaza Sauti) akisali kuombea uwanja wa ndege wa Terminal III unaoendelea kujengwa leo jijini Dar es Salaam uliopo katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.